Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Watu 26 wafariki kutokana na maporomoko ya ardhi kaskazini mashariki mwa India. Urusi yaendeleza mashambulizi yake nchini Ukraine. Raia wa Afrika Kusini watatizika na mgao wa umeme.
Kuchagua upande katika mzozo wa Ukraine kungekuwa rahisi waakti mmoja kwa mataifa ya Ghuba ya Kiarabu yanayolindwa kwa muda mrefu na Marekani, lakini uhusiano unaoongezeka na Moscow unayalazimu kuchukua tahadhari.
Amnesty International imetoa ripoti yake ya mwaka 2021 ya haki za binaadamu inayoonyesha jumuiya ya kimataifa ilikalia kimya migogoro mipya na ambayo haikuptiwa suluhu na kulaani vikali uhalifu wa kivita nchini Ukraine.
Mawaziri wa mambo ya nje wa kundi la mataifa ya G20 wamekusanyika katika kisiwa cha Bali nchini Indonesia ka mazungumzo yanayotarajiwa kugubikwa na kiwingu cha vita vya Ukraine kesho Ijumaa.
Marekani imesema janga la virusi vya corona limetengeneza mazingira muafaka ambayo yamesababisha usafirishaji wa watu kinyume cha sheria kuongezeka.