1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 01.03.2020

Sylvia Mwehozi
1 Machi 2020

China yaripoti visa vipya vya maambukizi ya Virusi vya corona wakati rais Donald Trump akiwahimiza Wamarekani kuwa na utulivu kufuatia kifo kimoja kuripotiwa. Watu elfu 13,000 wakusanyika mpakani mwa Ugiriki na Uturuki baada ya mpaka kufunguliwa. Wwatu 24 wameuawa huko mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

https://p.dw.com/p/3YhIm