1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni10.06.2018

Yusra Buwayhid
10 Juni 2018

Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Singapore leo kuhudhuria mkutano wa kihistoria na kiongozi wa Korea Kaskazaini, Kim Jong Un. Chama cha kansela wa Ujerumani cha CDU kimetolea wito wa sheria kali za uhamiaji kufuatia mauaji ya Susanna Feldman mwenye umri wa miaka14. Uhsipania yaokoa wahamiaji 334 katika bahari ya Mediterania wakitokea mataifa ya Kiafrika.

https://p.dw.com/p/2zFHn