1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

matangazo ya jioni ya DW Kiswahili. 14.06.2020

Tatu Karema
14 Juni 2020

Shirika la Human Rights Watch lamtaka Raisi wa Ufaransa Emmanuel Macron kutangaza mabadiliko madhubuti ya kukomesha ubaguzi wa rangi katika jeshi la polisi, kundi la Taliban lawauwa zaidi ya maafisa 400 wa usalama nchini Afghanistan na rais wa Urusi Vladmir Putin asema maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi ya Marekani ni dalili ya migogoro mikubwa nchini humo

https://p.dw.com/p/3dkwa