1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 30.12.2020

SK2 / S02S30 Desemba 2020

Jeshi nchini Uganda pamoja na polisi wamemkamata mgombea urais wa chama cha upinzani NUP, Robert Kyagulanyi// Mlipuko mkubwa umeutikisa uwanja wa ndege katika mji wa kusini mwa Yemen wa Aden leo Jumatano// Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi ameendelea na juhudi zake za kutafuta ushawishi wa viongozi na vyama vya siasa

https://p.dw.com/p/3nNqT