1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 30.05.2020

Amina Mjahid
30 Mei 2020

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema Ujerumani imepita mtihani wa janga la virusi vya corona, kampuni inayomilikiwa na serikali ya China imesema Chanjo dhidi ya corona yaweza kuwa tayari mwishoni mwa mwaka huu na Serikali ya Afghanistan yasema iko tayari kuzungumza na kundi la Taliban.

https://p.dw.com/p/3d2Ma