1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 28.07.2021

SK2 / S02S28 Julai 2021

Viongozi wa dini Tanzania kupigia chapuo chanjo ya Covid-19/ Mashirika ya haki za binadamu yatoa wito wa majadiliano Tanzania/ Kenya: Majaji wakutana kujadili uhuru na uadilifu wa mahakama/ Marekani na Urusi za zungumza kuhusu udhibiti wa silaha mjini Geneva/Dunia leo imeadhimisha miaka 70 ya mkataba wa kimataifa wa kuwalinda wakimbizi

https://p.dw.com/p/3yCnX