Matangazo ya jioni 28.03.2020 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 28.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matangazo ya jioni 28.03.2020

Vikwazo vya corona Ujerumani vitakuwepo hadi Aprili 20. Italia yasema juhudi za Umoja wa Ulaya dhidi ya virusi vya corona hazitoshi. Taliban lakataa kufanya majadiliano na timu iliyochaguliwa na serikali ya Afghanistan.

Sikiliza sauti 60:00