1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 26.12.2018

Yusra Buwayhid
26 Desemba 2018

Uchaguzi waahirishwa baadhi ya maeneo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Makabiliano ya Tunisia yanayolalamikia maisha magumu yasambaa katika miji mingine nchini humo. Na, Ufaransa yafuta uchunguzi dhidi ya Rwanda kuhusu mauaji ya Kimbari ya mwaka 1994.

https://p.dw.com/p/3Aez3