Matangazo ya Jioni: 23.08.2020 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matangazo ya Jioni: 23.08.2020

Kiongozi wa upinzani nchini Belarus awataka waandamanaji wanaodai demokrasia kuendelea kuandamana hadi matakwa yao yatakapotimizwa, Mke wa kiongozi wa upinzani nchini Urusi Yulia Navalnaya amtembelea Navalny hospitalini anakopatiwa matibabu mjini Berlin na watu wawili wauwawa Ivory Coast.

Sikiliza sauti 60:00