1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 23.06.2018

Sylvia Mwehozi
23 Juni 2018

Jioni hii tuliyokuandalia: Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe anasurika kuuawa katika mripuko. Maelfu ya waandamanaji wamemiminika mitaani huko London, kupinga hatua ya Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya. Na makamu wa zamani wa rais wa Congo Jean-Pierre Bemba, huenda akapatiwa pasipoti ya kidiplomasia itakayomwezesha kurejea nyumbani.

https://p.dw.com/p/309EX