1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni: 23.05.2026

23 Mei 2026

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio amekutana leo na waziri mkuu wa India Narendra Modi na kujadili kuhusu biashara na nishati, katika ziara inayolenga kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili. Iran yasema hatua zozote kuhusu Hormuz zinapaswa kukubaliwa na mataifa yanayopakana na ujia huo wa bahari na sio Marekani.

https://p.dw.com/p/5EEcF