1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 23.03.2019

Zainab Aziz
23 Machi 2019

Zaidi ya watu 600 wamekufa kutokana na kimbunga Idai katika nchi tatu za kusini mashariki mwa Africa. Trump aiondolea vikwazo Korea Kaskazini. Watu zaidi ya watano wauawa kwenye shambulio la kigaidi nchini Somalia. Wapinzani wa Brexit wataka kura nyingine a maoni.

https://p.dw.com/p/3FZOM