1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 23.02.2020

Sylvia Mwehozi
23 Februari 2020

Korea Kusini imeendelea kuwa katika tahadhari kubwa kufuatia ongezeko la maambukizi mapya ya Virusi vya Corona. Tetemeko la ardhi lenye kipimo cha 5.7 limepiga eneo la kaskazini magharibi mwa Iran, na kuwaua watu wanane katika nchi jirani ya Uturuki. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameonya juu ya mpango usio na haki unaolenga kumaliza mzozo baina ya Israel na Palestina.

https://p.dw.com/p/3YF3h