Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Taliban yaanza mazungumzo na mataifa ya Magharibi. Idadi ya waliokufa katika shambulio la gereza yaongezeka nchini Yemen. Serikali ya Burkina Faso yakanusha jeshi kuchukua nchi baada ya kusikika milio ya risasi.
Maelfu ya raia wa Ukraine wanajaribu kuukimbia mji wa Mariupol wakati Urusi ikiendeleza mashambulizi ya mabomu kwenye mji huo wa bandari.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa watu duniani kote kuandamana barabarani kama hatua ya kupinga uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewatolea mwito raia wa nchi hiyo kuendelea na mapambano dhidi ya wanajeshi wa Urusi katikati ya ongezeko la mashambulizi dhidi ya raia.
Makampuni sita ya magari yataahidi kusita kutengeneza magari yanayotumia mafuta ifikapo mwaka 2040, katika mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi COP26 ili kupunguza uzalishaji wa gesi chafu.