Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Mafuriko ya Bangladesh na India yaua zaidi ya watu 50 na kuwaathiri mamilioni ya wengine. Ukraine yarefusha hali ya dharura ya sheria ya kijeshi. Rais wa Marekani Joe Biden aonya juu ya uwezekano wa kuenea kwa homa ya nyani.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amevitaka vyombo vya habari nchini humo vifuate sheria na amesema vile vitakavyokiuka vitakumbana na mkondo wa sheria.
Licha Serikali ya Burundi kufunga mipaka yake ya majini na nchi kavu tangu Januari 11 kwa ajili ya kujihadhari na virusi vya Corona, raia wa maeneo hayo wanaendelea na shughuli zao bila kuchukua tahadhari za kujikinga.
Moja kwa moja kutoka nyumbani kwa mabingwa wa soka wa dunia, Ligi ya Ujerumani, Bundesliga, inakujia sasa nyumbani kwako barani Afrika kupitia radio Deutsche Welle na washirika wake.
Kanuni mpya kuhusu ushirikiano baina ya vyombo vya habari vya ndani na vya nje zinalenga zaidi kuudhibiti ushirikiano huo kuliko kuuongoza, anaandika Mohammed Khelef kwenye maoni yake juu ya kanuni hizo.