1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 21.07.2019

Sudi Mnette
21 Julai 2019

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Muhammad Javad Zarif, amesema ni "busara tu na umakini" ndivyo vinavyoweza kupunguza mvutano kati ya nchi yake na Uingereza na Chama cha Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe cha Liberal Democratic, LDP, kinashiria kushinda katika uchaguzi wa bunge wa taifa hilo

https://p.dw.com/p/3MT1u