1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 20.03.2021

Sylvia Mwehozi
20 Machi 2021

Maelfu ya watu wamejitokeza kuuga mwili wa hayati John Magufuli jijini Dar es salaam. Japan yakumbwa na tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 na kusababisha tahadhari ya Tsunami. Mkuu wa Umoja wa Ulaya atishia kusimamisha mauzo ya nje ya chanjo ya AstraZeneca.

https://p.dw.com/p/3qui7