Matangazo ya Jioni 19.05.2022 | Media Center | DW | 19.05.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Jioni 19.05.2022

Uturuki kupinga Finland na Sweden kuwa wanachama wa Jumuiya ya Kujihami NATO/ Kansela wa zamani wa Ujerumani, Gerhard Schroeder ameondolewa rasmi stahiki na marupurupu yake/ Uchunguzi wa Sayansi ya China” / Tanzania na Serikali ya Mapinguzi ya Zanzibar zimeanzisha kampeni ya kutoa chanjo ya ugonjwa wa kupooza, Polio kwa watoto/ Wanasiasa wanawake DRC wakabiliwa na changamoto lukuki

Sikiliza sauti 60:00