Matangazo ya jioni 18.10.2019 | Media Center | DW | 18.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya jioni 18.10.2019

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema nchi yake itaongeza kasi ya mashambulizi kaskazini mwa Syria, iwapo makubaliano ya kusimamisha operesheni ya kijeshi hayatatekelezwa. Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson kwa mara nyingine amewaomba wabunge wa Uingereza kuufanikisha mchakato wa Brexit. Na watu 62 wameuawa katika mripuko wa bomu ndani ya msikiti Afghanistan.

Sikiliza sauti 60:00