Matangazo ya Jioni 18.07.2021 | Media Center | DW | 18.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Jioni 18.07.2021

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema serikali yake itashirikiana na majimbo yaliyoathirika kwa mafuriko//Wanachama wa kundi la nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC wakubaliana kuongeza kiwango cha uuzaji mafuta//Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ametoa wito wa kuwepo amani na mazungumzo kufanyika Cuba, baada maandamano yasiyo ya kawaida kulikumba taifa hilo

Sikiliza sauti 60:00