1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni: 18.06.2022

18 Juni 2022

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yaitaka Uingereza kuishinikiza Rwanda kuhusu mzozo unaoendelea kati ya mataifa hayo mawili. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky atembelea eneo la Mykolaiv lililoharibiwa na vita. Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman kufanya ziara katika nchi za Misri, Jordan na Uturuki.

https://p.dw.com/p/4CtlY