1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 17.08.2021

SK2 / S02S17 Agosti 2021

Uturuki yafanya mazungumzo na pande zote Afghanistan/ Kongo:Takribani  siku 100 zimepita tangu kuwekwa rasmi kwa serikali ya kijeshi katika mikoa ya kivu/ Kenya: muungano wa OKA utakuwa na mgombea mmoja wa urais mwaka 2022/Siasa za Libya zinavyochangia kuongezeka kwa wahamiaji wanaotaka kwenda barani Ulaya/ Rais mteule wa Zambia Hakainde Hichilema ashtumu utawala wa serikali inayoondoka

https://p.dw.com/p/3z619