1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 15.12.2021

SK2 / S02S15 Desemba 2021

Tanzania: Rais Samia ataka kuona vyama vya siasa vikifanya kazi zake kwa kuzingatia sheria/ Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema serikali yake itapambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi/ Marekani na Iran zahimizwa kurejelea makubaliano ya nyuklia/ Mahakimu na waendesha mashtaka nchini Rwanda ndio wamepokea kiasi kikubwa cha rushwa

https://p.dw.com/p/44JgD