Matangazo ya Jioni 15.10.2021 | Media Center | DW | 14.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Jioni 15.10.2021

Tanzania: Siku ya kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa taifa Mwalimu Julius Nyerere/ Kenya: Mahakama Kuu yazuia kwa muda mchakato wa kutoa vitambulisho vya kidijitali maarufu kama kadi za Huduma/ Burundi imepokea kwa mara ya kwanza leo shehena ya dawa za chanjo dhidi ya virusi vya corona/ Uganda: Walimu walaani agizo la rais/ Marekani na Israel zinatafuta mpango mbadala wa kukabiliana na Iran

Sikiliza sauti 60:00