1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 15.09.2019

Grace Kabogo
15 Septemba 2019

Ufaransa imelaani vikali mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyofanywa kwenye vituo vya mafuta vya Saudi Arabia//Uturuki imesema betri ya pili ya mfumo wa kujilinda dhidi ya makombora wa S-400 imewasili leo na mfumo huo utaanza kufanya kazi Aprili, 2020//Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametuma ujumbe wa ngazi ya juu katika juhudi za kuzihakikishia nchi za Afrika usalama wa raia wake

https://p.dw.com/p/3PdoW