Tuliyonayo katika Matangazo ya Jioni : Kansela Angela Merkel ataka kuwepo sheria kali za wahamiaji //Mhakama Misri yathibitisha hukumu ya kifungo dhidi ya Rais wa zamani Hosni Mubarak na wanawe // Iraq imekanusha madai ya Uturuki kwamba imewauwa wapiganaji wa jihadi nchini humo.