1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 05.07.2020

Yusra Buwayhid
5 Julai 2020

Shirika la Afya Duniani jana limesema limerikodi maambukizi 200,000 ya ugonjwa wa COVID-19 kwa siku. Papa Francis asifu juhudi za baraza la usalama za kusitisha mapigano ili kutoa msaada wa kibinadamu wakati wa janga la corona. Rais wa Marekani Donald Trump aahidi kuwashinda wafuasi wa mrengo wa kushoto wanaoandamana nchini humo.

https://p.dw.com/p/3epTW