1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni: 01.10.2022

1 Oktoba 2022

Wanajeshi wa Urusi zaidi ya 5000 'wamezingirwa' katika mji wa Ukraine wa Lyman. Umoja wa Afrika pamoja na Umoja wa Ulaya walaani mapinduzi nchini Burkina Faso. Kimbunga Ian chasababisha vifo vya watu 30 nchini Marekani.

https://p.dw.com/p/4HdNX