1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 01.09.2018

Sylvia Mwehozi
1 Septemba 2018

Jioni Hii: Israel yasifu uamuzi wa Marekani wa kusitisha ufadhili kwa shirika la linalowasaidia wakimbizi wa Kipalestina. Urusi yaonya juu ya kuuawa kwa kiongozi mkuu wa kundi linalotaka kujitenga mashariki mwa Ukraine, kwamba kutadhoofisha mkataba wa Amani. Iran inapanga kuongeza uwezo wa makombora yake ya masafa marefu , pamoja na kujipatia aina mpya ya ndege za kivita.

https://p.dw.com/p/349ka