Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki) | Media Center | DW | 17.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

Uingereza yaitaka China kukomesha kamata kamata ya wanaharakati wa Hong Kong//Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lapitisha azimio la kuunga mkono maendeleo Libya//Urusi yajibu hatua ya Marekani kwa kuwatimua wanadiplomasia 10 wa Marekani//Kasisi wa Rwanda akamatwa nchini Ufaransa kwa madai ya kuhusika na mauaji ya kimbari

Sikiliza sauti 51:59