1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

17 Januari 2019

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May aponea kura ya kutokuwa na imani na serikali yake//Kundi la kigaidi la al-Shabaab lasema shambulizi la Kenya ni jibu kwa Rais Trump kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel//Na Umoja wa Mataifa waidhinisha kutumwa kwa waangalizi Yemen kama hatua ya usitishwaji wa mapigano.

https://p.dw.com/p/3BgSV