Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Karibu katika matangazo ya asubuhi ikiwa ni tarehe ya mwisho ya Mwezi Februari. Tumekuandalia makala za Mtu na mazingira, utamaduni na sanaa na nyinginezo
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3q1UP
Marekani inakabiliwa na hali ngumu ya kuudhibiti ugonjwa wa Covid-19 lakini kwa upande mwingine inapambana katika vita vya maneno na China kuhusu vilikoanzia virusi vya Corona
Mpango mpya wa waziri mkuu Boris Johnson umewasilishwa bungeni na kukosolewa na wabunge kutoka vyama takriban vyote nchini Uingereza baada ya Umoja wa Ulaya pia kuonesha kutoridhishwa kabisa na mpango huo.
Shirika la Afya Duniani WHO, limesema idadi ya visa vipya vya ugonjwa wa COVID19 kwa wiki imeongezeka kwa karibu maradufu duniani katika kipindi cha miezi miwili iliyopita ikiwa ni kiwango cha juu kuwahi kushuhudiwa sasa
Waziri Mkuu wa Uingereza anatarajiwa kuongoza mkutano wa dharura wakati mataifa kadhaa ya ulaya yakifungia safari za ndege kutoka Uingereza kufuatia aina mpya ya kirusi cha corona ambacho Uingereza inataabika kukidhibiti