Matangazo ya Asubuhi 25.09.2021 | Media Center | DW | 25.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Asubuhi 25.09.2021

Baada ya kutawala siasa za Ujerumani kwa miongo saba, ikiwemo kushiriki pamoja mara kadhaa katika serikali ya muungano, vyama vya muugnano wa kihafidhina vya Ujerumani CDU na CSU, na chama cha Social Democratic SPD, vimekuwa kwa namna fulani pamoja linapokuja suala la sera.

Sikiliza sauti 51:59