Matangazo ya asubuhi 25.05.2021 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matangazo ya asubuhi 25.05.2021

Jacob Oulanya achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Uganda/ Nini chanzo cha uhasama kati ya Kenya na Somalia?/ Miezi miwili baada ya uvamizi wa Palma, manusura wa Msumbiji bado wanaendelea kukimbia. Lishe duni kwa akina mama ya sababisha visa vya watoto kuzaliwa kabla ya wakati na uzani pungufu Tanzania/ wakaazi wa Gaza waanza kuyajenga upya maisha yao kufuatia siku 11 za mashambulizi

Sikiliza sauti 52:00