1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 24.03.2019

TSA / S08S24 Machi 2019

Mawaziri wa serikali ya Uingereza wanaripotiwa kupanga kumlaazimisha waziri mkuu Theresa May kuachia madaraka. Rais Donald Trump asifu ushindi dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu nchini Syria. Juhudi za uokozi zaingia wiki ya pili kufuatia kimbunga Idai kusini mashariki mwa Afrika

https://p.dw.com/p/3FZqZ