1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 23.12.20

TSA / S08S23 Desemba 2020

Wakaazi wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameshindwa kujiandaa kwa Krismasi kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu. Sekta ya afya nchini Kenya ipo katika mkwamo, kufuatia mgomo wa madaktari ulioanza Jumatatu. Matukio muhimu ya mwaka mpya wa 2021 Ujerumani ni pamoja na juhudi za kupambana na janga la corona, uchaguzi wa bunge, kuagwa Kansela wa Ujerumani Angela Merkel.

https://p.dw.com/p/3n7w9