Uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka 2017 kufanyika chini ya tume mpya. Marekani yawahamishia Falme za Kiarabu wafungwa 15 wa Guantanamo. Licha ya kuamua kuachia madaraka mwakani, Rais Eduardo dos Santos wa Angola ataka kubakia na uwenyekiti wa chama tawala.