1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 10.05.2022

TSA / S08S10 Mei 2022

Wasiwasi kutokana na sherehe za kumshangilia mwanawe kiongozi wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba/ Uganda: Malalamiko katika mahakama kupinga mwenendo, matamshi na vitendo vya Jenerali Muhoozi/ Vikosi vya Urusi vinafanya mashambulizi kuudhibiti mji muhimu wa badari wa Mariupol/ Ukosefu wa usalama katika maeneo kadhaa ya Bonde la Ufa nchini Kenya/ Rais wa Korea Kusini ashindwa kuitekeleza ahadi yake.

https://p.dw.com/p/4B52J