1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 10.01.2021

10 Januari 2021

Wachunguzi waopoa sehemu za miili ya watu baada ya ndege ya Indonesia kuanguka, Washukiwa zaidi wakamatwa kufuatia uvamizi katika bunge la Marekani, Ujerumani yaimarisha usalama katika majengo yake ya bunge, CAR: Ndege za kivita za Ufaransa zafanya doria, Iran yatishia kuwafukuza wakaguzi wa Umoja wa mataifa katika vinu vyake vya nyuklia

https://p.dw.com/p/3njyS