Matangazo ya Asubuhi: 04.12.2021 | Media Center | DW | 04.12.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Asubuhi: 04.12.2021

Raia wa Gambia leo Jumamosi 04.12.2021 wanapiga kura ya kumchagua rais wa nchi hiyo. Marekani yatilia mashaka uwezekano wa kufufua makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na mataifa yenye nguvu duniani. Wafanyabiashara ya ngono nchini Kenya huenda wakapata afueni baada ya wabunge kuanzisha mchakato wa kuhalalisha kazi hiyo.

Sikiliza sauti 51:59