Mashirika yadai haki za waandishi Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 28.08.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Mashirika yadai haki za waandishi Tanzania

Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaliyounda umoja wa kupata taarifa Tanzania yametaja mazingira magumu wanayokumbana nayo waandishi wa habari na kudhamiria kwenda mahakamani kushtaki unyanyasaji dhidi ya waandishi.

Sikiliza sauti 02:26

Ripoti ya George Njogopa kutoka Dar es Salaam

              

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com