1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashambulizi dhidi ya Wamarekani wa Asia, kulikoni?

Amina Mjahid17 Machi 2021

Shambulizi katika majumba ya kuchua viungo huko Marekani lililosababisha vifo vya watu8 miongoni mwao wanawake sita wa asili ya Asia limezusha wasiwasi kwamba shambulizi hilo ni la chuki dhidi ya wamarekani wenye asili ya Asia. Ni nini kinachojulikana hadi sasa? Profesa David Monda mchambuzi wa siasa aliyeko Marekani anajibu.

https://p.dw.com/p/3qlSl