Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Mashabiki wa mpira wa miguu duniani wanaendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa nyota wa soka wa zamani wa Argentina Diego Armando Maradona.
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3lrpu
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Argentina Diego Maradona ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 60. Maradona alikuwa akisumbuliwa na maradhi katika siku za hivi karibuni.
Watu mashuhuri duniani na ulimwengu wa soka kwa ujumla, wanaomboleza kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Argentina Diego Maradona, aliyefariki dunia siku ya Jumatano