Maporomoko ya Viktoria yapo hatarini | Media Center | DW | 06.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maporomoko ya Viktoria yapo hatarini

Maporomoko ya Viktoria yapo hatarini. Tuliswayo Muteba kutoka mji wa Livingstone, Zambia, amejitolea kulilinda eneo linaloyazunguka maporomoko hayo, dhidi ya uharibifu wa mazingira. Kila siku anashuhudia namna misitu inayolizunguka eneo hilo inavyoharibiwa. Muteba ameamua kuwafundisha watoto na watu wazima wa eneo hilo, thamani ya kutunza mazingira, ili kuifufua tena misitu hiyo.

Tazama vidio 01:13
Sasa moja kwa moja
dakika (0)