Mapigano makali yazuka Mashariki mwa Kongo baina ya majeshi ya serikali ya DRC na waasi wa kundi la CNDP | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mapigano makali yazuka Mashariki mwa Kongo baina ya majeshi ya serikali ya DRC na waasi wa kundi la CNDP

Huko Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ripoti kutoka mashariki mwa nchi hiyo zinasema kuwa jana majeshi ya serikali na yale ya waasi wa kundi la CNDP linaloongozwa na jenerali muasi Laurent Nkunda yalipambana vikali.

Mapigano mashariki mwa Kongo yazuka upya

Mapigano mashariki mwa Kongo yazuka upya

Mapigano hayo yalitokea mchana kutwa jana katika maeneo ya Rumangabo,Kanombe na Kibirizi katika wilaya ya Ruchuru na wilaya ya Musisi.

Kutoka Goma mashariki mwa Kongo mwandishi wetu John Kanyunyu ametutumia taarifa ifuatayo
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com