Mapambano ya mwandishi albino dhidi ya unyanyapaa | Afrika yasonga mbele | DW | 12.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mapambano ya mwandishi albino dhidi ya unyanyapaa

Henry Mdimu, mwandishi wa habari albino nchini Tanzania ameamua kuitumia kazi yake kuwaelimisha watu, na kujaribu kubadilisha imani potofu juu ya ulemavu wa ngozi.

Tazama vidio 03:20

Mapambano ya mwandishi albino dhidi ya unyanyapaa

    

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com