1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maonyesho ya sherehe za utamaduni wa Ujerumani jijini Nairobi,Kenya

19 Oktoba 2009

<p>Wiki mbili za tamasha, maonyesho na sherehe za utamaduni wa ujerumani zimeanza rasmi nchini Kenya. Sherehe hizo zilizoanza hapo jana zitaendelea hadi tarehe 31 mwezi huu.

https://p.dw.com/p/KAcl
Sherehe na maonyesho hayo yanaandaliwa mjini Nairobi na Ubalozi wa Ujerumani kwa ushirikiano wa Taasisi ya Mafunzo ya Lugha ya Kijerumani Goethe Institute.

Mwandishi wetu kutoka Nairobi, Alfred Kiti ametuandalia taarifa ifuatayo.