Maoni ya wananchi wa Zanzibar baada ya Rais Karume na Katibu mkuu wa CUF Seif Shariff Hamad kukutana | Matukio ya Kisiasa | DW | 06.11.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Maoni ya wananchi wa Zanzibar baada ya Rais Karume na Katibu mkuu wa CUF Seif Shariff Hamad kukutana

Kwa mashangao wa watu wengi, jana katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, alikwenda Ikulu ya Zanzibar na akakutana na rais wa Zanzibar, Amani Karume.

Rais Amani Karume wa Zanzibar akutana na Katibu Mkuu wa chama cha CUF Seif Shariff Hamad

Rais Amani Karume wa Zanzibar akutana na Katibu Mkuu wa chama cha CUF Seif Shariff Hamad

Taarifa fupi ya pamoja iliotolewa Ikulu ya Zanzibar ilisema viongozi hao wawili walizungumzia juu ya kushirikiana na kuendeleza mazungumzo yatakayosaidia kuvipeleka mbele visiwa vya Zanzibar na watu wake.

Othman Miraji leo amekusanya maoni ya Wazanzibari wachache kuhusu toke hilo la jana...

Mtayarishaji: Othman Miraji

Mhariri:M. Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com