Maoni ya wakenya kuhusu BBI | Media Center | DW | 27.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maoni ya wakenya kuhusu BBI

Hatimaye, mchakato wa kukusanya saini milioni 4 za kuipa ridhaa ripoti ya maridhiano ya kitaifa ya BBI umezinduliwa rasmi Alhamisi kwenye jumba la mikutano la kimataifa la KICC jijini Nairobi. Wakenya wanasemaje?

Tazama vidio 02:58